Naibu Waziri, Ummy Mwalimu azindua Warsha ya kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20, Lima Peru.

  Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Ally Mwalimu akifungua warsha ya kuelekea kwenye Mkutano wa kimatafia wa masuala ya ma... thumbnail 1 summary
 Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Ally Mwalimu akifungua warsha ya kuelekea kwenye Mkutano wa kimatafia wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi COP20 ambao unatarajiwa kufanyika Desemba 1-12 mwaka huu huko Lima nchini Peru.
 Mwakilishi kutoka Rosa Luxemburg Foundation, Joan Leon akiwasilisha mada wakati wa warsha ya kuelekea Mkutano wa kimatafia wa masuala ya mabadiliko ya tabianchi COP20.
 Meneja Mradi ForumCC, Rebecca Muna akizungumza wakati wa warsha ya kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20 utakaofanyika Lima nchini Peru Desemba 1-12 mwaka huu.
 Afisa Miradi ForumCC, Fazal Issa akijadiliana jambo na mmoja wa washiriki wa warsha hiyo

 Baadhi ya washiriki wa warsha wakifuatilia mada mbalimbali
 Mwakilishi wa Norwegian Church Aid, Moses Mwihava akifafanua jambo kwa washiriki wa warsha hiyo
Afisa Habari ForumCC, Tajiel Urioh akizungumza jambo wakati wa warsha ya kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi COP20.
 Baadhi ya washiriki wa warsha wakifuatilia mada mbalimbali
 Afisa Miradi kutoka Kituo cha Elimu ya Mabadiliko ya Tabianchi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Abdallah Henku, Naibu Mkurgenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Raisi Dr. Richarg Muyungi na  Afisa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rasi, Injinia Lasdaus Kyaruzi
 
Mwezeshaji wa warsha hiyo kutoka ForumCC, Adam Anthony


 Picha zote na Tabianchi Blog