Maadhimisho ya miaka 20 ya Antelope Tours & Travel Services Ltd yafana

 Mkurugenzi Mkuu  Madame Rose Abdallah akitoa shukrani kwa wageni waliofika kwenye mchaparo wa kusherehekea kutimiza Miaka 20 ya Antel... thumbnail 1 summary
 Mkurugenzi Mkuu  Madame Rose Abdallah akitoa shukrani kwa wageni waliofika kwenye mchaparo wa kusherehekea kutimiza Miaka 20 ya Antelope Tours& Travel Services Ltd iliyofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es salaam
 Mkurugenzi Mkuu Eckhardt Mtasiwa akiongelea machache kuhusu kampuni kwa wageni waalikwa
 Bwana Davis Mosha akiongea machache baada ya kupokea tuzo ya mteja wa Antelope Tours & Travel Services Ltd wa miaka mingi
 Meneja Mkuu Bwana Harry Chopeta akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Rose Abdallah na wakurugenzi Bwana Eckhardt Mtasiwa na Bi Lysa John
 Mkurugenzi mkuu Rose Abdallah akikata keki huku  na wafanyakazi wa Antelope na Meneja mkuu wa Amadeus Juan Tores wakiisubiuri kwa hamu.