Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3.00 usiku wa leo. tarehe 03/08/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 03/08/2015.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara na Kagera]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Geita, Iringa, Mbeya,Njombe, Lindi na Mtwara]:
[Mikoa ya Katavi, Mwanza, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Shinyanga, Singida na Ruvuma]:
[Mikoa ya Morogoro na Dodoma]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


TAHADHARI
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM 40 KWA SAA NA MAWIMBI MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
25°C
16°C
12:41
12:38
D'SALAAM
30°C
22°C
12:36
12:21
DODOMA
27°C
17°C
12:48
12:37
KIGOMA    
32°C
17°C
01:11
01:02
MBEYA
21°C
08°C
01:01
12:42
IRINGA
25°C
14°C
12:51
12:34
MWANZA
29°C
20°C
12:54
12:53
TABORA
31°C
17°C
12:59
12:50
TANGA
31°C
23°C
12:34
12:25
ZANZIBAR
28°C
24°C
12:36
12:21

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka Kusini kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 05/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 03/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.